arusha_cleaners

arusha_cleaners

Share

22/05/2026

PAVING ZIKICHAFUKA ZINALETA TASWIRA MBAYA ZAIDI

Watu Wengi Hujaribu Njia Mbali Kusafisha Lakini Zinashindikana, Kwasababu Zingine Zinakuwa na Ukungu Hivyo ni Vigumu Kurudi. Katika Hali Yake

Sisi Tumekuletea Suluhisho Tutakusafishia Na Zitakuwa na Muonekano Mzuri Kabisa Ambao Wewe Mwenyewe Utaweza Kumaintain Bila Shida

ARUSHA, MOSHI NA MAENEO YA JIRANI

Namba ni Moja Tu #0621020195 ,Ukipigiwa na namba nyingine ni mpaka Upewe maelekezo🙏

Pia Whatsapp Link Ipo kwenye Bio Yetu

Tupigie Au Ujumbe wa Kawaida 0621020195 📞📞📞📞

Dm pia tunajibu karibu sana

🔴weka booking angalau siku moja kabla

13/05/2026

JE UNA VITI VYA OFFICE VIMECHAFUKA NA UMESHINDWA KUSAFISHA

TUTAKUSAFISHIA NA VITAPENDEZA TENA USIPATE SHIDA KUSAFISHA NA K**A UMEWAHI KUJARIBU UKASHINDWA ONDOA SHAKA SISI TUTAMALIZA KABISA🙏

❌Uchafu wa kumwagikiwa na Soda au Juice
❌Vumbi
❌Hatufu Nzito Ndani ya Nyumba

Nyumba Itabaki Kuwa na Harufu Freesh Kabisa

Tuna Ujuzi na Uzoefu wa Kutosha Kabisa Kukupa Huduma Bora

KUNA LINK YA WHATSAPP KWENYE BIO YETU

📞📞AU PIGA #0621020195

Endelea Kufurahia Huduma Zetu
Huduma Tunazotoa ni:-
⏹Usafi Nyumbani na Ofisini
⏹Usafi wa Nyumba Baada Ya Ujenzi
⏹Kusafisha Sink na Tiles
⏹Usafi Kwenye Madirisha ya aluminium
⏹Kutengeneza Garden
⏹Fumigation (kuua wadudu)

ARUSHA,MOSHI,DODOMA,DAR
MANYARA

12/05/2026

Huenda umejenga Nyumba ila umeshafisha hijapata matokeo yale unayo yahitaji au umefanyia ukarabati na umehamia hivyo hivyo

Usipate shida tena sisi tunaweza kukusafishia na Hakika Nyumba yako itapendeza sana

Angalia video hiyo vizuri

Link ya whatsapp ipo kwenye Bio yetu

piga 0621020195

Want your business to be the top-listed Cleaning Service in Arusha?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


Arusha